Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Anakua papuchi tu.wema hakui kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakua papuchi tu.wema hakui kila siku
Ngassa. Ngassa ana 20 yrs only.We mbona hadi leo Ngassa ana 22. So vumilia tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 20 yrsNgassa. Ngassa ana 20 yrs only.
Eeeeeeeeeeeeeeeehkuna.muda umri una stuck
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana watu hawazeeki aisee!!! Ngaaasa we kiboko!!We mbona hadi leo Ngassa ana 22. So vumilia tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngassa. Ngassa ana 20 yrs only.
Umenikumbusha mbali mkuu. Wakati Ngassa akijinadi yanga kuwa ni kinda ana miaka 19 alikuwa ana mtoto Wa miaka 9! Kwa sasa tunaongeza umri tufike 55 ili tulipwe NSSF zetu.We mbona hadi leo Ngassa ana 22. So vumilia tu