Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mswahili so lazima wao wajioneshe na pia kakuzwa kujikweza kukurupuka na hajitambui hiyo ni shida ingine.Aman iwe juu yenu wakuu msiwe wapuuz kama wafia dini wanao uana kisa wanatofautiana dini, msiwe wapuuz kama wafia dini wanaoitana makafiri kisa wanatofautina dini. Hawaaminian kabisa mkiristo anajua muislam anamuabudu shetan na ni mtu Wa moton tu pia mwisilam anaamin ukristo ni dini ya kutungwa na wakristo hawataiona pepo.
Twende kwenye maada
Ngoja nisileleke nayo wakuu
Je ivi mwanadada wema sepetu anakwama wapi mbona mamiss wenzake wako juu na wanaheshima sana kwenye jamii na wamejijengea misingi mikubwa sana kwenye maisha tofaut kabisa na yeye. Je anakwama wapi Dada yetu huyu
Ukiangalia mamis kama kylin, Nancy sumary, faraja, pia na jokate kidoti na huyu ambaye katwaa juzi miss makune anaonekana ana akili sana na hana Maisha ya mitandao kabisa.
Je huyu Dada yetu anakwama wapi, je bado ni mtoto utoto unamsumbua au bado hajajitambua
Mi nahisi watu waliomzunguka yaan campan yake ndo tatizo
Je anakwama wapi
Nawasilisha
Aman itamalaki juu yenu
NEW YORK BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
'Sikio la kufa halisikii dawa'Aman iwe juu yenu wakuu msiwe wapuuz kama wafia dini wanao uana kisa wanatofautiana dini, msiwe wapuuz kama wafia dini wanaoitana makafiri kisa wanatofautina dini. Hawaaminian kabisa mkiristo anajua muislam anamuabudu shetan na ni mtu Wa moton tu pia mwisilam anaamin ukristo ni dini ya kutungwa na wakristo hawataiona pepo.
Twende kwenye maada
Ngoja nisileleke nayo wakuu
Je ivi mwanadada wema sepetu anakwama wapi mbona mamiss wenzake wako juu na wanaheshima sana kwenye jamii na wamejijengea misingi mikubwa sana kwenye maisha tofaut kabisa na yeye. Je anakwama wapi Dada yetu huyu
Ukiangalia mamis kama kylin, Nancy sumary, faraja, pia na jokate kidoti na huyu ambaye katwaa juzi miss makune anaonekana ana akili sana na hana Maisha ya mitandao kabisa.
Je huyu Dada yetu anakwama wapi, je bado ni mtoto utoto unamsumbua au bado hajajitambua
Mi nahisi watu waliomzunguka yaan campan yake ndo tatizo
Je anakwama wapi
Nawasilisha
Aman itamalaki juu yenu
NEW YORK BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Saiv analiwa na jamaa mmoja askari anampigia simu wanakutana hotel kisirisiri ila jamaa anasema bila bangi haend yule demu kwahyo anahakikisha anamineli kama mitano ivi ndio waende wakatulie, kwakifupi wema haishiwag nyege ana nyege za kimataifa...
Aisee kwahiyo ana nyege kama zote
singinda iko pande zipi?hata baba yangu kaniambia ukioa mkoa wa singinda utajuta