Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 2,993
- 3,747
Mbaya zaidi ukoo mzima unasoma geji unatembelea reserve mafuta ya kibaba taa inawaka.Gari zenye dashboard kati kati ukoo mzima unaona jamaa sasa hivi yupo 140 km/h mama mkwe anakwambia baba punguza spidi..hatuna haraka...