Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Shunie mm ndio natamani anitunuku tunda la mti wa katikati.
 
kuna mkono wa mtu hapa, inakuwaje sikuona huu uzi?
Nakupenda sana Joanah beibe na hili najua unalitambua.
sorry for late reply na ni matumaini yangu uko pouwa
 
Sijaelewaa
Kwenye uzi wake aliorodhesha hao wadada akasema "anawatamani" na mie ndio nimemuuliza kumbe anawatamani tu sio kuwapenda kwa dhati. Unajua Heloo kuna tofauti ya kumpenda mtu na kumtamani mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…