Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

kuna mkono wa mtu hapa, inakuwaje sikuona huu uzi?
Nakupenda sana Joanah beibe na hili najua unalitambua.
sorry for late reply na ni matumaini yangu uko pouwa
Usijali mamaa...notifications zinakuwaga nyingi sana humu
 
Hahaha
Nigawe tuu mie
Ila Sakayo.Sema kwenye Uzi mmoja wa mdada umeaema unatongozwaa sana mtaani mpaka unakimbiaa
Ebu twambie mwenzetu ya kweli au.kunogesha kijiwe??
 
Ila Sakayo.Sema kwenye Uzi mmoja wa mdada umeaema unatongozwaa sana mtaani mpaka unakimbiaa
Ebu twambie mwenzetu ya kweli au.kunogesha kijiwe??
Hahaha
Aki wewe umenishinda tabia
 
Kuna members kadhaa wa hspa jukwaani waliojitambulisha kama ni Ke katika profiles zao, kama kweli ni Ke, basi sina budi kuficha hisia na kwamba, ninawatamani sana kimapenzi.

Ninatamani siku moja wanitunuku papuchi zao.

Member hao ni

1.Maserati
2.Emmyta.
3.Sakayo.

Je wewe mwanamume wa JF, ni mwanamke gan hapa JF unayetamani akutunuku?

Je wewe mwanamke wa JF, ni mwanamume gani hapa JF unatamani umtunuku papuchi yako?

Kwenye hii list ukimtoa Emmyta itapendeza saana
 
Back
Top Bottom