Je wewe kwa sasa uko wapi

Wakuu tuwe wakweli, wewe kwa sasa uko wapi

Naona Watu wa Kitengo na Msiojulikana sasa mpo katika mkakati mahsusi kabisa wa kujua wale Controversial Members wa JamiiForums wanaishi Mkoa gani hasa ili Kazi yenu iwe rahisi.

Binafsi kwa sasa nipo Kwetu huku Mkoani Gisenyi nchini Rwanda ambapo naendelea na Kazi zangu Kuu tatu ya Uvuvi, Ukulima na Ufugaji ila kama mambo yakienda vyema Wiki ijayo natarajia kwenda kwa Mke wangu huko Kisiwani Puerto Rico.

Sitoishia tu kukuambia wapi nilipo bali nakupa hata majina yangu rasmi kabisa ambayo ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka na jina langu la Ubatizo kutoka Kanisa Katoliki naitwa Wise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…