Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karudi lupango???Popoma msabato
Saa ngapi?Karudi lupango???
Hahahaaaa wewe jamaa balaaNaona Watu wa Kitengo na Msiojulikana sasa mpo katika mkakati mahsusi kabisa wa kujua wale Controversial Members wa JamiiForums wanaishi Mkoa gani hasa ili Kazi yenu iwe rahisi.
Binafsi kwa sasa nipo Kwetu huku Mkoani Gisenyi nchini Rwanda ambapo naendelea na Kazi zangu Kuu tatu ya Uvuvi, Ukulima na Ufugaji ila kama mambo yakienda vyema Wiki ijayo natarajia kwenda kwa Mke wangu huko Kisiwani Puerto Rico.
Sitoishia tu kukuambia wapi nilipo bali nakupa hata majina yangu rasmi kabisa ambayo ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka na jina langu la Ubatizo kutoka Kanisa Katoliki naitwa Wise.
My kasie I miss uAm here...... making living doughnut. ...
Angalia ID yake ilivyoandikwaSaa ngapi?
Poa poaAngalia ID yake ilivyoandikwa
My kasie I miss u
I'm slight better.Hello how are you? ?
Thanks for the misses.
Hello how are you? ?
Thanks for the misses.