Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Huko naskia kuna mipunga na Michele kama yoteMagomeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko naskia kuna mipunga na Michele kama yoteMagomeni
Like attracts like all the best in the beginning of a new dayGreat to hear that, mine was good and am just starting a new day....
Ndo nimetoka porini sa hivi na digidigi naenda kuchemsha supuWakuu tuwe wakweli, wewe kwa sasa uko wapi
Like attracts like all the best in the beginning of a new day
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Huko naskia kuna mipunga na Michele kama yote
ulivyoenda kunywa hyo chai c ulienda mwenyewe? kwann tukuombee wakati hujaburuzwa umejipeleka mwenyeweView attachment 695187
Nakunywa hiyo [emoji115]chai....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
ulivyoenda kunywa hyo chai c ulienda mwenyewe? kwann tukuombee wakati hujaburuzwa umejipeleka mwenyewe
[emoji2] safi angalia usitembelew na kibwengoNiko bwenini Mimi, nambie
Kuna dili la bata bukini, vipi unao nije kuwachekiNipo hapa Jf.....
Kwani ulikua unasemaje?
Naona vidurubwana kiunoni,ndo griss zako mkuu?[emoji1] [emoji23] [emoji23]View attachment 695227
Namimi nipo vizuri mkuu, saizi ndio natoka ili nielekee home
Nko njian kurud gheto.Wakuu tuwe wakweli, wewe kwa sasa uko wapi
Kumbe wWe sio mtanzania ndio maana mnyeti anawatafuta...9Naona Watu wa Kitengo na Msiojulikana sasa mpo katika mkakati mahsusi kabisa wa kujua wale Controversial Members wa JamiiForums wanaishi Mkoa gani hasa ili Kazi yenu iwe rahisi.
Binafsi kwa sasa nipo Kwetu huku Mkoani Gisenyi nchini Rwanda ambapo naendelea na Kazi zangu Kuu tatu ya Uvuvi, Ukulima na Ufugaji ila kama mambo yakienda vyema Wiki ijayo natarajia kwenda kwa Mke wangu huko Kisiwani Puerto Rico.
Sitoishia tu kukuambia wapi nilipo bali nakupa hata majina yangu rasmi kabisa ambayo ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka na jina langu la Ubatizo kutoka Kanisa Katoliki naitwa Wise.
Nanjilinji ya kongowe kuelekea mkuranga au??Nanjilinji
Yeah na ww upo huko?Nanjilinji ya kongowe kuelekea mkuranga au??
Nipo shambani hapa nalinda mihogo yangu dhidi ya nguruwe pori bwana, tu majirani basi kumbeYeah na ww upo huko?
Urithi huo mkuu, huku kwetu Ilogi kawaida sana hizo mambo.....Naona vidurubwana kiunoni,ndo griss zako mkuu?[emoji1] [emoji23] [emoji23]
Kuna dili la bata bukini, vipi unao nije kuwacheki