Je wewe ni developer Unatumia Languages kazi ku develop projects zako?

Je wewe ni developer Unatumia Languages kazi ku develop projects zako?

mwalimu_wa_IT

Member
Joined
Nov 5, 2024
Posts
93
Reaction score
165
Hope mko poa.

Now days mambo yamekua marahisi sana tuna autosourcing nyingi za kujifunza ila tatizo ni kuchagua Luga sahihi kwa mda sahihi

Sasa leo nataka nikuandike lugha za kujifunza .

1.Kama wewe ni web developer soma Java, python na typescript
Framework Django React, Express-node na springs boot unaweza ukasoma php na laravel sio lazima sana hii.
Ila za juu ni lazima.
Hizo languages zote muhimu sana ila Java ni muhimu zaidi.

2. Mobile developer
Hapa una soma Flutter dart na Typescript framework React native. Backend Node na Laravel hizi ukizifahamu basi lazima utafanikiwa tuu.

3.Machine learning Data science
Hapa bila kupepesa macho ni Python, numpy, pandas, polars, etc
4.Game development
Hapa ni C# hii inafanya game development vizuri
 
Sikuhizi Hakuna Developer kuna prompt merchants tu wa ChatGPT kuungaunga code mtu anajiita developer
Nimeshangaa kwa nini hajaweka prompt engineering. Yule mchina bos wa nvidia alisema code is dead watoto wasiwekeze sana kujifunza programming bali wajifunze ku communicate. Prompt an AI is all about communication. Kazi nyingi zijazo zitakuwa ni kuiamrisha AI ifanye unachotaka.
Tanzania sion8 amsha amsha na hamasa sijui tunasubiri wazungu wabadiri mifu.o nasi ndio tushtuke.
 
Ndio kwanza nipo first year,tunafundishwa c++ lakin hata sielewi sijui nini shida?
 
Ndio kwanza nipo first year,tunafundishwa c++ lakin hata sielewi sijui nini shida?
Dah! Mpaka natokwa na machozi juu yako mdogo wangu. By the time unamaliza, ChatGPT itakuwa na ufanisi mkubwa sana wa kukufanya uwe redundant. Kila la kheri lakini.
 
Dah! Mpaka natokwa na machozi juu yako mdogo wangu. By the time unamaliza, ChatGPT itakuwa na ufanisi mkubwa sana wa kukufanya uwe redundant. Kila la kheri lakini.
So nibadili course au?
 
So nibadili course au?
Hapana! Ila usiwe mvivu jifunze na uelewa the basics, kisha ingia mtandaoni, angalia new development kwenye field yako tafuta courses jifunze kwa undani zaidi. AI is the future hivyo usikubali kubaki nyuma.
 
HTML, CSS na python nimeshazimasta, saiz najifunza php.

Mi sio developer ila programming ni hobby yangu.
 
Dah! Mpaka natokwa na machozi juu yako mdogo wangu. By the time unamaliza, ChatGPT itakuwa na ufanisi mkubwa sana wa kukufanya uwe redundant. Kila la kheri lakini.

Mkuu hakuna kitu kinachoweza kuchukua nafasi ya mtu.

Artificial intelligence ipo ili kurahisisha kaz ya binadamu lakini sio kuchukua nafasi yake.
 
Ndio kwanza nipo first year,tunafundishwa c++ lakin hata sielewi sijui nini shida?
Je Ulianza kusikia haya maneno ukiwa na miaka mingapi?

1. Computer programming
2. Coding

Je ulianza kutumia computer ukiwa na miaka mingapi?
 
Je Ulianza kusikia haya maneno ukiwa na miaka mingapi?

1. Computer programming
2. Coding

Je ulianza kutumia computer ukiwa na miaka mingapi?
Nimeanza kusikia hayo maneno nikiwa o-level,pia computer nilianza kutumia advance kidogo
 
Mkuu hakuna kitu kinachoweza kuchukua nafasi ya mtu.

Artificial intelligence ipo ili kurahisisha kaz ya binadamu lakini sio kuchukua nafasi yake.
Wanao amini AI inaweza ku-replace programming ni wale ambao hawajawahi kabisa ku-code!.
AI unafanya coding kuwa easy process lakini creativity and ideation utaendelea kuwa kazi ya programmer in the process maybe if you are just a guy reading articles and come around here na kuongea mambo usiyo expirience
 
Back
Top Bottom