Je, wewe ni mlinzi binafsi, baunsa au bodyguard?

Je, wewe ni mlinzi binafsi, baunsa au bodyguard?

Mulama

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
3,047
Reaction score
1,823
Soma tangazo na uchukue hatua za kujiunga bila kuchelewa.
IMG-20190620-WA0014.jpeg
 
[emoji23][emoji23]ngoja nianze kunyenyua chuma
Baadhi ya wanajf mnapendaga mizaha kwenye mambo nyeti!
Labda ngoja tuweke habari hii "wema sepetu arejeshewa dhamana yake"!
Hapa unacommentje?
 
Wale wa green guard wanaruhusiwa kwenda au wao Chakubanga atajisajili kwa niaba yao?
Yeyote aliyekwenye sekta ya ulinzi anafaa kujiunga na mpango huu ili apate mafunzo ya weledi.
 
Utashangaa na makonda anajipa ULEZI wa baunsa kinachofuata kitambulisho cha ujasiliamali au kodi.
 
Wizi mtupu!! kwani jeshi la polisi haitoshi kuwatambua au kutoa mafunzo?
 
Back
Top Bottom