kaka9
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 280
- 113
habari wakuu!
husika na kichwa cha habari hapo juu,tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka,wamiliki wengi wa shule wanaumiza vichwa ni namna gani wanaweza kuongeza idadi ya udahili wa wanafunzi katika shule zao?,changamoto kubwa waliyonayo ni katika masoko kwa bahati mbaya sana shule nyingi sana hazina wataalamu wa marketing labda hawaoni umuhimu au ni ubahili wa kutowaajiri usio na tija katika biashara,unakuta shule nyingi wanajitahidi angalau kuajiri wahasibu yani wanajali sana kukusanya pesa kuliko kutengeneza mazingira ya kuongeza pesa.
kutoona umuhimu wa watu wa marketing katika shule haimaanishi kuwa hawana umuhimu katika tasisi hiyo bali ni kutokuwa na ndoto kubwa ya kukuza biashara yako,mtu wa marketing sio lazima awe mtu aliesomea na ana cheti bali ni mtu yoyote ambae anaweza akaongozea thamani biashara yako,ili mradi awe mbunifu,mweledi,anaependa kujifunza vipya,kufanya tafiti na anaeweza kuukabili ushindani wa soko,wakati mwingine sio lazima umuajiri hapo shuleni anaweza akawa hata consultant ukamuita tu pale unapo muhitaji kwa wakati fulani hasa katika kipindi kama hiki cha kujiandaa kudahili wanafunzi wapya mwakani.
tatizo hili la kutowajali watu wa marketing limesababisha biashara nyingi kudumaa,unakuta mtu ameendesha shule miaka 10 lakini ameshindwa kuongeza hata shule nyingine,hali kama hiyo inatokana na kukosa mawazo mbadala na mikakati mizuri inayoweza kukuza biashara yako,
marketing ni eneo pana na hakuna mtu anaejua vitu vyote,binafsi yapo maeneo ambayo naweza nikakusaidia kama consultant yanayoweza kuongeza tija na kukuza biashara yako
hata kama unamiliki chekecchea ndogo naweza nikakusaidia na gharama zangu ni nafuu.
kwa mawasiliano zaidi nicheki 0673269820.