Je, wewe ni msichana chini ya miaka 24? Karibu tuyajenge

Mkuu punguza udomo zege basi yaan mtoto kashakujibu sawaaa tena kwa madeko kabisa badala ya kufanya manjonjo unaishia kusema karibu mkuu.
Nahitaji mtu alikizi vigezo na Ana nia mkuu; ambayo hayupo interested mwache Andelee kula maisha
 
Mmmh miaka 25???? ....kula kwanza ujana ....ndoa ya hivi inakuaga na balaa kweli kweli hapo kati
 
Mmmh miaka 25???? ....kula kwanza ujana ....ndoa ya hivi inakuaga na balaa kweli kweli hapo kati
Kwenye maisha hakuna kuwahi/kuchelewa ila muhimu kuwahi mambo ya kuitwa babu na wttt sitaki
 
Mwenye 40+ akijitokeza huko pm , naomba unipasie mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…