Je, wewe ni msichana chini ya miaka 24? Karibu tuyajenge

hapo ankoli nisikufiche utapata makonkodi ya jiji,,,,,,,, yatakumaliza kila kitu then ubaki na nywele tuu na ivi wanavyojua kuzitumiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
cha msingi we tafuta demu unaehisi utaendana nae piga voko akijaa mvute chumbani tafuna km broiler then ndo habari za maisha ziendeleeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ushahuri mzuri bravo
 
wee bakora nini tena? [emoji28][emoji28]kwani akibaki na nywele tu dhambi?
 
wee bakora nini tena? kwani akibaki na nywele tu dhambi?
hahahahha sio dhambi ila anakua hajapata anachokitafuta ,,,,,maaana mshikaji anataka mke atakae hangaika nae kutengeneza an outstanding family so akikutana na madanga itakuaje?????πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hahahahha sio dhambi ila anakua hajapata anachokitafuta ,,,,,maaana mshikaji anataka mke atakae hangaika nae kutengeneza an outstanding family so akikutana na madanga itakuaje?????πŸ˜‚πŸ˜‚
Umeongea bonge la point mkuu
 
opportunitycost hakika maana thread yako imekaa ki fursa zaidi,kila la kheri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…