Je wewe, ni mwanasaccos, au kiongozi au mtendaji? soma hapa, haraka

Je wewe, ni mwanasaccos, au kiongozi au mtendaji? soma hapa, haraka

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Habari za hasubuh ndugu wanajamvi?

Natumai wikendi yenu ilikuwa njema, na yenye mafanikio, tele, nichukue fursa hii kuwatangazia wana bodi, ambao ni wanaushirika nchini, au wafanya kazi katika taasisi ambazo zinajulikana kama vyama vya ushirika, au saccoss, kuwa sasa wale mabingwa wa kukusanya madeni, kutoa mafunzo na kufanya ukaguzi wa nje wamepata kibari cha kutoa huduma hizo kutoka TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA NCHINI,(TCDC).

ofisi zetu zipo morogoro, karbu na msikiti wa Mahita, karbuni nyote kwa huduma hizo ili kuwezesha vyama vyetu ambavyo ndivyo engine ya uchumi kurudi katika hali yake ya hapo hawali.

Taasisi ya Jikuze Business Solution Limited imepewa kibari katika mikoa KUMI NCHINI, nayo ni

Morogoro,Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Mtwara, iringa Njombe, na mengine mingi.

kwa mawasiliano zaid piga no hii! 0785972660

ofisi zetu ziko, wazi muda kuanzia saa 2- mpka saa kumi na moja jioni.
 
Kwanini mnatoza ile demand notice 100000? na ile 10% ya mkopo wakati huwa mkisaini na chama mnapewa hela ya uendeshaji?
 
Back
Top Bottom