Je, Wewe ni mzaliwa wa ngapi? Ona majukumu na wajibu wako

Je, Wewe ni mzaliwa wa ngapi? Ona majukumu na wajibu wako

Mimi ni wa 4 kwa mama na wa 9 kwa baba. Lakini baba ameniachia mimi majukumu ya kuilea familia!. Hapa inakuaje kwa utafutaj wangu wa riziki kuitafutia familia?.

Utakuwa mzaliwa wa kwanza wa HAKI... fatilia kisa cha Kain na Abel
 
Andiko lako linasema katika familia yoyote, lakini halielezi kuhusu wale ambao either baba au mama alichepuka na kuzaa pembeni au mama alizaa kabla ya kuolewa?????????????
 
Mkuu how can you guarantee your position, sikuhizi uzinzi umetawala kila kona. unaweza sema wa kwanza kumbe ni wasita au wa kumina tatu.
 
NAONA IMEBEZ KWA WALE WASIO NA MAKUU CJAWAONA WATENDA MAASI ILA NINGESHAURI MWISHO WA MANENO HAYO UNGEMALIZIA NA UNDER Ceteris paribus 'all other things remaining constant.'
 
1468509592409.jpg
just a joke
 
Mwenyezi Mungu niongoze nami niwaongoze wadogo zangu , nawe hivyo(Amina)

#Pongezi kwa 1 Wote
 
Mimi ni mtoto wa tatu kwa Baba, na ni wa nne kwa Mama, nafasi yangu ni ipi?
 
Back
Top Bottom