ABTWAHILAKILIMALI
Member
- Jan 10, 2015
- 78
- 27
SIRI ILIYOJIFICHA NDANI YA BIASHARA YA MTANDAO SEHEM YA NNE
Habari ndugu msomaji wa makala zangu matumaini yangu unaendelea vizuri hadi muda huu ambao umechukuwa kusoma tena makala haya ambayo yanaenda kuufungga ubongo wako sehem ambao ilikuwa imefungwa juu y biashara zilizo kwenye mfumo wa mtandao, huenda umewahi kuzisikia sana au umewahi hata kufanya lakini hukuwahi kugundua siri kubwa iliyojificha ndani ya mfumo huu wa biashara, huenda umewahi jiuliza mbona kila siku zinazuka kampuni mpya zote biashara hii hii na umekosa jibu endelea kufatilia mafunzo haya halafu utapata jibu sahihi, kama hujasoma makala zilizopita tafadhari, , tembeleapage yangu facebook " Bassanga health solution " au jiunge kwenye group langu watsap linalotoa mafunzo ya biashara ya mtandao.
KWANINI NILIAMUA KUFANYA BIASHARA YA MTANDAO?
Huenda ukawa unajiuliza hivi na huyu kwaninj aliamua kufanya mfumi huu wa biashara ya mtandao ukawa hupati jibu, japo mwanzo kabisa nilikuwa sitaki hata kusikia biashara hizi, kwasababu nilikuwa sizielewi kwanza nilikuwa muajiriwa, nilikuwa napata mshahara taaluma yangu inaniwezesha kupata kazi popote serikalini na hata binafsi, kwaiyo sikuona umuhimu wa biashara hizi ambazo niliona wanafanya masikini wasio na cha kufanya japo nilialikwa kuhudhuria mikutano ya kampuni nyingi kama.GNLD, FOREVER, TIANSHI, ORLFRAME, TELEXFREE, ANGEL, na nyingine kibao.Lakini sikufanya chochote hadi pale nilipokuta na na kampuni ambayo niliielewa na ilinionyesha siri iliyoko kwenye biaahara ya mtandao, , NEPTUNUS huwa napenda kuiita the great company.Niliamua kufanya biashara hii kwasababu zifuatazo.
1.NILIKUWA SIPENDI KUAJIRIWA
Aisee toka nikiwa chuo hakuna kitu ambacho nilikuwa sipendi kama kuajiriwa, kwasababu nilikuwa nachukia swala mmoja kupigiwa mstari kwenye daftari la kusain, yani boss yeye hajui unatoka wapi wala umekutana na foleni kiasi gani hilo ni jukumu lako aisee nilikuwa nachukia sana kuajiriwa na hadi sasa nachukia kuajiriwa, lakini kuchukia kwangu kuajiriwa hakukuwa ni suluhisho maana lazima nitafute kitu mbadala, lakini wengi tunajua mshahara ni kama period unakuja mara moja na haukai zaidi ya siku tano, hivyo inshu ya kupata mtaji ikawa ngumu sana kwangu nikawaza hivi ili nijitoe kwenye ajira lazima nianzishe biashara lakin tawezaje kuanzisha biashara wakati nipo kazini, wakati nasoma kitabu cha robati kiyosaki Before quiting a job katika mambo kumi aliosema kuwa kama unataka kuacha kazi uyafanye kati ya hilo alisema fanya biashara ya mtandao kwani ndio biashara ambayo unaweza anza kufanya biashara ukiwa nyumbani hapo ndipo nikafunguka na kuanza kutafuta kampuni nzuri nikaipata NEPTUNUS.
2.NILIKUWA SINA MTAJI MKUBWA WA BIASHARA
Hili ni tatizo la watu wengi sana hadi leo ni masikini kwasababu ya kukosa mtaji, kiukweli mshahara wangu ulikuwa hautoshi kabisha kuanzisha biashara, nakumbuka siku moja nilikuwa na wazo la kuanzisha biashara ambayo kama ingeingia sokoni nilijua lazima itanilipa tu ilikuwa biashara ya kuchapisha vitabu, nikaenda kwenye taasisi za mikopo nikawaambia naomba mkopo wakaanza kunipa mlolongo, hadi uwe na dhamana ya nyumba, au muwe kikundi, sasa nikajiuliza mimi mwenyewe nilipo ni kwawatu maana wakati huo hata kupanga sijapanga, nyu ba napata wapi, hivyo vikundi hadi uvipate ni leo hapana nikashindwA, lakini baadae nashukuru Mungu baada ya kuanza kufanya biashara kwenye mfumo huu wa mtandao, bila hata mtaji mkubwa nilipata pesa za kuanzisha biashara yangu hiyo na sasa kitabu kiko sokoni unaweza kukipata ilala boma gorofa ya nane, jengo la mwalimu house kitabu kinaitwa MAISHA NA VYAKULA JINSI VINAVYOTUUWA TARATIBU.
Kampuni nyingi nilizokuwa naalikwa nazo zilikuwa zinatatizo eti mtu ili uwe mfanyabiashara lazima uwe na mtaji wa laki sab wengine nane wengine milion, mmmhhh kiukweli haikuwa sawakwa mfanyabiashara mdogo.Kupitia Neptunus niliweza ondoa tatizo la mtaji, hata wewe unaehangaika na swala la mtaji ijue siri hii.
3.NILIKUW NATAKA KUFANYA BIASHARA LAKINI NILIKUWA SIJUI PAKUANZIA
Nakumbuka siku moja nilimfata rafiki yangu mmoja anaitwa Edwini huyu ni rafiki yangu wa muda mrefu sana, nikamwambia Edwin nataka kufanyabishara ya kuuza matunda kwasababu yeye alikuwa anauza matunda na mbogamboga, akaniuliza unajua wapi pakuanzia nikamwambia sijui akaniuliza unashilingi ngapi nikamtajia pesa niliyokuwa nayo alicheka sana akaswma sasa hiyo pesa sihata kodi hujalipa kiukweli nilijisikia kumbe siwezi, lakini tangu nilipo kuwa shule ya msingi hadi chuo, akili yangu ilikuwa inawaza sana kuwa mfanyabiashara, hata nilipokuwa kazi akili yangu ilikuwa inawaza sana biashara kwasababu niliona wafanyabiashara walivyo na uhuru na maisha yao, lakini swali langu likawa taaluma ninayosoma na biashara tofauti tawezaje kuwa mfanyabiashara taanzia wapi, hili swali lilikosa jibu kwa muda mrefu sana, lakini baadae ndipo nilipogundua siri iliyojificha kwenye biashara ya mtandao, kumbe ndani ya biashara hii unatengenezwa na kujua wapi utaanzia, asante sana Neptunus, baada ya kuanza biashara kwenye mfumo wabiashara ya mtandao kila kitu kilianza kufunguka, fursa kibao nilianza kuziona na kujua wapi pakuanzia leo hii sipati shida na watu wananishangaa jinsi kila siku naanzisha vitu vipya, najua wapo watu wengi saaana mtaani, ni waajiriwa na wao wapo kama nilivyokuwa mimi hawajui wapi pakuanzia, najua wapo wastaafu sasa ivi macho yanawatoka hawajui wapi pakuanzia na pesa wanazo, najua wapo ambao wamehitimu na hawajui wapi pakuanzia na wengine wapo tu nyumbani hawajui wapi pakuanzia, usipate taabu ninaweza kukufundisha wapi pakuanzia na siku moja utashudia watu, kuna siri kubwa sana ndani y biashara hizi, ambazo wengi hamjazijua kwasababu mnaiangalia biashara hii kwa negative mind.Usipate shida nitafute takufundisha.
Zipo sababu nyingi saana zilizonifanya hadi kufanya biashara iliyo kwenye mfumo wa Network marketing, najua leo umejifunza kitu, tukutane siku nyingine takuelekeza sababu zingine nyiiingi huenda na wewe ukawa na sababu hizo lakini hujui jinsi ya kujitoa huko.
abtwahil@gmail.com