Je? wewe uko mwaka gani hapa enjoy...

Je? wewe uko mwaka gani hapa enjoy...

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
2,061
Reaction score
546
Sera ya mapenzi kwa vipindi tofauti

MIAKA YA 1986--1990
hapa utaambiwa ...Nimekubali ila usimwambie mtu


MIAKA YA 1991--1995

Hapa utaambiwa nimekubali ila namwogopa baba na mama watajua ...!!


MIAKA YA1996--2000

Hapa utaambiwa nimekubali lakini sitaki mapenzi mpaka unioe...!!!


MIAKA YA 2006--2010
Hapa utaambiwa .....Pesa yako tuu,,maneno sitaki...!!


MIAKA YA 2011--2015

HApa utaambiwa nimekubali lakini haupo peke yako


hebu tupia...
 
2015 -2020
hapa utaambiwa..

Nimekubali ila nipe FACEBUK yako au instagram kwanza nikucheck swaga then ntakukubali zaidi..
 
Back
Top Bottom