I had very lovely parents.. Very caring and very helpful to us in our family.. May their souls rest in eternal peace..Amen💗💗💗Imekuathiri vipi kwa maisha yako ya ukubwani?.
Je umekulia kwenye familia ambapo wazazi
Hakika Maisha ya Afrika hususani kwenye swala la malezi ya watoto tumefeli..
- Walikuwa na excessive controls na kukudhibiti kwa kila hatua yako ya ukuaji kiasi cha kukuathiri kisaikolojia?
- Wanatumia njia ya kukunyima chakula, kukunyima usingizi na kukufanyia body Shaming kama adhabu pale unapokosa hata kama kosa lenyewe ni dogo?
- Wanakutumia kama kama njia ya kujiingizia kipato kwa njia ya udanganyifu n.k?
- Ambao walikufanyia bullying na kukutukana na kukutamkia maneno mabaya kiasi kwamba yana ku "Hunt" hadi leo?
- Ambao walikuwa wanakuadhibu kwa njia za kikatili mfano kupigwa kichwa kikiwa chini miguu juu ?
- Ambao walikunyanyasa na kukudhulumu kingono? (Hususani kwa wale waliokuwa na wazazi wa kufikia :step family)
- Wakijamba wakubwa wewe mdogo unaangushiwa kipigo heavy?🤨🤨
Tupeane uzoefu na kuhusiana na mada na njia za kudhibiti toxic parenting .
View attachment 3445393
Kweli kabisaa hii kitu nime experience shuleni bullying kutoka kwa walimu.. ndio nchi kama marekani unasikia mtu au mwanafunzi anaua wenzake au mwalimu wake kwa bundukiWatu weusi mambo ya malezi huwa hawawezi na hawajui kulea mtoto.
Issue Kama bullying imekuwa jambo la kawaida Sana na walivyowajinga hata walimu wapo hivyo.
Unakuta Mwalimu anamuita mtoto Cheusi, kisa kamuona mweusi Sana .
Binafsi sitegemei watoto niwape malezi ya kiswahili
Hakika anabidi kupigwa risasiKweli kabisaa hii kitu nime experience shuleni bullying kutoka kwa walimu.. ndio nchi kama marekani unasikia mtu au mwanafunzi anaua wenzake au mwalimu wake kwa bunduki
Kuwa disciplined sikatai. Ila njia za kumshikisha mhusika adabu zinakuwa Harshly kiasi kwamba zinavuka ule mstari wa utu na ubinadamu.. ..Kipindi nakuwa nilikuwa naona kama maza anipendi ila sasa nimekuwa naona kama alikuwa sahihi kufanya yale yote maana muafrica bila fimbo hawezi kwenda