Muhammad rasulullah, najua siwezi kuwa kama yeye, siwezi kufikia level yake.. Kupitia yeye naishi maisha fulani ya amani mnoo, Alhamdulillah.
Siwezi kuwa perfect [emoji108] , natoa boko kadhaa, lakini kila nikiangalia mfumo wa maisha yake natamani mnoo..
Kitambo (enzi za ujahilia[emoji23]) nilikuwa namkubali mnoo 2pac aisee.. Ilikuwa Humiambii kitu kwa huyu mwamba.