Je, wewe una mentor, role model au Godfather duniani?

Je, wewe una mentor, role model au Godfather duniani?

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,931
Kuna watu huwa wanaosema celebrity fulani ndio role model wangu au utasikia mtu flani ndio mentor wangu.

Hajamfahamu tu side B yake ilivyo.Watu ni wanafiki sana na good pretenders hasa hawa wenye majina makubwa.Unakuta mtu ana jina kubwa kumbe ni jihuni tu lenye sura mbili.Uliza watu kama receptionists au mameneja wa hotel au madereva utawajua jinsi mamentor au role model walivyo wanafiki kwa uchafu wanaofanya wakiwa kwenye uhalisia wao wa maisha.
Screenshot_20191010-230740~2.jpeg
 
Role Models zangu ni Nick Cannon na Ebro Darden.
 
Muhammad rasulullah, najua siwezi kuwa kama yeye, siwezi kufikia level yake.. Kupitia yeye naishi maisha fulani ya amani mnoo, Alhamdulillah.

Siwezi kuwa perfect [emoji108] , natoa boko kadhaa, lakini kila nikiangalia mfumo wa maisha yake natamani mnoo..

Kitambo (enzi za ujahilia[emoji23]) nilikuwa namkubali mnoo 2pac aisee.. Ilikuwa Humiambii kitu kwa huyu mwamba.
 
Hata nikipewa nafasi ya pili ya kuishi hapa duniani nitatamani niishi kama ninavyoishi sasa hivi
 
Back
Top Bottom