Digo zee
JF-Expert Member
- Jan 20, 2017
- 608
- 1,252
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee hii KaliMimi huwa nina challenge vitu vingi ambapo mpaka watu wananishangaa
Nilikuwa nina hamu sana ya bungee jumping nikafanya pia siku naruka kwenye helicopter ndio kabisa natamani nirudie Mara kumi
Napenda kukaa juu mbele kama picha la titanic nikiwa kwenye meli kuangalia dolphin.
Lakini woga ambao nimeshindwa ni kenge huyu kiumbe ananikera mpaka nikaamua kumla siku moja ili asinisumbue kichwani lakini wapi.
Napenda sana nyoka
Wewe phobia yako ni ipi hebu share basiHeee hii Kali
Hongera