Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Kuna haya mapenzi mubashara ya mume na mke. Au hata wapenzi, sanasana wale wanaokaa nyumba moja hupendelea kuchaguliana nguo ya kuvaa kwa ajili ya kazini, kusafiri, mitoko ya jioni.
Kuna wengine wanafurahia kuchaguliwa nguo na wengine hawapendi, na hao wanakuwa na sababu zao maalum Kwa mfano: mwanaume kazini kwao kuna msichana mgeni kaja afu ni kifaa haswa ili na yeye aonekane smart, atatafuta nguo ambayo akivaaga anasifiwaga sana.
Sasa akifikiria kuchaguliwa hawezi kukubali au anakutana na mwanamke alomhangaikia kwa mwaka mzima hapo humchagulii nguo mbaya kwa kweli .
Me mwanaume wangu anatabia tukitaka kutoka out anakwambia uvae nguo ambayo ni bwanga eti nisionekane shape hapo sasa me sikubali na safari inashia hapo
Wewe je?