charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 5,992
Yaani ni aibu tubu,alafu kingine anampangia hadi akiwa njiani avae ninja sijui akija kazini ati asitongozwe! ila mumewe sasa ni muhuni mfano hamna! namuulizaga bibie ndoa ni utumwa eh maana kila unachofanya ni kwa niaba ya mume! haya mahaba niue ya hivi yanipitie pembeni kwa kweli unakua mtumwa wa binadamu mwenzio.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ghafla bin vuu. Kaanguka , wanaomuokota na kumsaidi wanakutana na chupi lililolegea.[emoji23][emoji23][emoji23]