Yaani ni aibu tubu,alafu kingine anampangia hadi akiwa njiani avae ninja sijui akija kazini ati asitongozwe! ila mumewe sasa ni muhuni mfano hamna! namuulizaga bibie ndoa ni utumwa eh maana kila unachofanya ni kwa niaba ya mume! haya mahaba niue ya hivi yanipitie pembeni kwa kweli unakua mtumwa wa binadamu mwenzio.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ghafla bin vuu. Kaanguka , wanaomuokota na kumsaidi wanakutana na chupi lililolegea.[emoji23][emoji23][emoji23]
ha ha ha wengine flatscreen tuliangukaga bafuni,tukivaa dera zinakua kama kanzu tehHuu uzi huu... Ni zaidi ya mambo ya wapenzi kuchaguliana mavazi.. Maana ajabu kila mdada humu asema ana msambwanda!
AsantehHongera
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie binafsi nah,Ila kuna mambo yanashangaza mno rafiki angu kaolewa alinipa story kila akivaa nguo asubuhi lazima mume amchagulie kufuli eti kufuli lenyewe shurti liwe baya au limelegea kisa na mkasa eti asimsaliti!wivu mwingine wa kifala mfyuuu et nayee anavaa chupi mpauko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kasoro mimi tu.Huu uzi huu... Ni zaidi ya mambo ya wapenzi kuchaguliana mavazi.. Maana ajabu kila mdada humu asema ana msambwanda!
Wanaume wenye wivu ni balaa kwa ukichecheYaani ni aibu tubu,alafu kingine anampangia hadi akiwa njiani avae ninja sijui akija kazini ati asitongozwe! ila mumewe sasa ni muhuni mfano hamna! namuulizaga bibie ndoa ni utumwa eh maana kila unachofanya ni kwa niaba ya mume! haya mahaba niue ya hivi yanipitie pembeni kwa kweli unakua mtumwa wa binadamu mwenzio.
Ndo maana mnadate na jamii nzimaIla me sipendi. Coz anakuchagulia nguo ambayo ukivaa hata barabarani watu hawageuki kukutazama. Ya nini sasa [emoji23]
Ki vip sasaNdo maana mnadate na jamii nzima
Unatak uoneshe umbo lako katika jamii ya majemedali unatarajia nnKi vip sasa
Ila me sipendi. Coz anakuchagulia nguo ambayo ukivaa hata barabarani watu hawageuki kukutazama. Ya nini sasa [emoji23]
Huyo ndo mume mwema yani. Hapendi utongozwe hovyoIla me sipendi. Coz anakuchagulia nguo ambayo ukivaa hata barabarani watu hawageuki kukutazama. Ya nini sasa [emoji23]
Hahahah mama umeniua mbavuuha ha ha wengine flatscreen tuliangukaga bafuni,tukivaa dera zinakua kama kanzu teh
Hahahah sasa we usietaks fata maagizo ya mume utataka ufate ya nani? Au ujiendee unavyotaka tuYaani ni aibu tubu,alafu kingine anampangia hadi akiwa njiani avae ninja sijui akija kazini ati asitongozwe! ila mumewe sasa ni muhuni mfano hamna! namuulizaga bibie ndoa ni utumwa eh maana kila unachofanya ni kwa niaba ya mume! haya mahaba niue ya hivi yanipitie pembeni kwa kweli unakua mtumwa wa binadamu mwenzio.
Sio kila agizo ni la kufuata kakat tunapaswa tuwe na kiasi kwa kila jambo kila mmoja akitambua mipaka kwa mwenza wake inapendeza zaidi.Hahahah sasa we usietaks fata maagizo ya mume utataka ufate ya nani? Au ujiendee unavyotaka tu
Kiasi ni sawa, mambo ambayo sitakiwi kukuamuru juu ya kuyafanya ni yale yatayokusababishia uharibifu wa kimwili au kiakili ama yanayodhoofisha maendeleo. Vitu kama kukula ndogo hapo inabidi upinge, kukuvutisha bangi au madawa pia unapinga ni sahihi na lazima. Kufanya mambo ya anasa pia ww pinga.Sio kila agizo ni la kufuata kaka.Tunapaswa tuwe na kiasi kwa kila jambo.Kila mmoja akitambua mipaka kwa mwenza wake inapendeza zaidi.
Hapo nakubaliana nawe kabisa ndio maana nimesema kwenye kila jambo kunatakiwa kuwa na KIASI" Sitegemei kuwa mkaidi kwenye mambo ambayo naona hayana ulazima wa mie kufanya na mwenzangu ashaniomba nisifanye!huwa nasikiliza ila isiwe too much!!Kiasi ni sawa, mambo ambayo sitakiwi kukuamuru juu ya kuyafanya ni yale yatayokusababishia uharibifu wa kimwili au kiakili ama yanayodhoofisha maendeleo. Vitu kama kukula ndogo hapo inabidi upinge, kukuvutisha bangi au madawa pia unapinga ni sahihi na lazima. Kufanya mambo ya anasa pia ww pinga.
Ila vitu minor vya kusikiliza mbona hamna haja ya kupinga mama. Mumeo ni kama baba yako ujue.
Yeah ofcourse challenges zipo. Kama mimi bibie hataki nivae tshirt na jeans na sneakers anaona nakuwa bishoo anataka nivae mashati, cadet na penny loafersHapo nakubaliana nawe kabisa ndio maana nimesema kwenye kila jambo kunatakiwa kuwa na KIASI" Sitegemei kuwa mkaidi kwenye mambo ambayo naona hayana ulazima wa mie kufanya na mwenzangu ashaniomba nisifanye!huwa nasikiliza ila isiwe too much!!
Afanye mazoezi inaonekana unamuhonga Sana mpaka ameota kitambiMm hapo hua ugomvi.na mke.wangu.yy
Akinichagulia huwa hakosei.kimbembe mm yeye anashape kama pipa.na tumbo kubwa ni mnene kilo.around.tisini
Na.mbili.tako.hana hivyo mm humchagulia dela ili kuficha kasoro hizo.yeye hutaka suruali.na tshirt au kibode.sijui.ndo kitop mm.huwa.nazira.namwambia.sitoki na ww kwa staili.hiyo napenda uvae kiheshima.but me.napenda sana mdada akivaa min skirt.or skin trouser lakni ndo hivyo tena shemeji yenu.hivyo huwa.ananuna.njia nzima
Eti.....!!Mimi nlishawahi kua na mwanaume alikua anapenda nivae gauni zile pana pana hivi au baibui yani nilivyokua navaa zile nafsi yake ilikua burudani..na kizuri ni kwamba alikua mnunuaji mzuri wa hayo mavazi aliyokua anataka nivae ila alikua anatwanga maji kwenye kinu sababu hata nivae nini mambo bado yanaonekana tu...