Jamani inawezekana si mimi peke yangu ambae hatufahamu juu ya historia ya mti wa x-mass na mapambo yake!
Kama wewe unaufahamu mzuri naomba niweke sawa.
Nakama ukiongezea elimu ya ile sikukuu ya boxing day nitafurahi zaidi.
Nawasilisha
Ninacho fahamu kuhusu mitandao ya ki internet nikua inatakiwa itusaidie kurahisisha kazi na si kututawala hata ikafikia hatua tukashindwa kufahamu ukweli eti kisa mitandao ya kikompyuta imesema tofauti.
Any way nitatafuta jibu kivingine.