Je wewe unalijua hili?

Je wewe unalijua hili?

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
399
Jamani inawezekana si mimi peke yangu ambae hatufahamu juu ya historia ya mti wa x-mass na mapambo yake!
Kama wewe unaufahamu mzuri naomba niweke sawa.
Nakama ukiongezea elimu ya ile sikukuu ya boxing day nitafurahi zaidi.
Nawasilisha
 
Don't be lazy. If your question can be answered by google in 3 seconds, you better off googling!
 
Don't be lazy. If your question can be answered by google in 3 seconds, you better off googling!

Nafahamu kua google inaweza kunijibu within a few second...
But not everything you need about anything is to be in google.
 
Mkuu kama jamaa alivyo changia hapo juu you better google. kwa sababu ni issue ngumu na inaingilia imani za watu.
 
Mkuu kama jamaa alivyo changia hapo juu you better google. kwa sababu ni issue ngumu na inaingilia imani za watu.

Ninacho fahamu kuhusu mitandao ya ki internet nikua inatakiwa itusaidie kurahisisha kazi na si kututawala hata ikafikia hatua tukashindwa kufahamu ukweli eti kisa mitandao ya kikompyuta imesema tofauti.
Any way nitatafuta jibu kivingine.
 
kaka unaweza ukaleta mabishano ya kipumbavu humu ndani hebu elimika kidogo!!!
 
Back
Top Bottom