Je wewe unamkubali pina?

Kukamido

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
853
Reaction score
204
Hakuna aliekamilika binafsi namkubali sana huyu msanii kwa kua imara kwenye misimamo yake,kutoonesha uoga uoga,lakini zaidi ni kupenda kwake kuzungumza ukweli!sikiliza moja ya nyimbo za kikosi cha mizinga inayoitwa ufalme!
 
Misimamo gani unayoizungumzia wewe,kufanya show iliyoandaliwa na Clouds ambao siku za nyuma alikuwa anawapinga?

ANYWAY: Mziki wake naukubali,hiphop anaimudu.lyrically yuko vizuri,kuchana pia yuko poa
 
Hana msimamo! wenye msimamo ni Mapacha a.k.a maujanja supplier.
 
ANA MSIMAMO GANI! Zamani alikua yuko against na waf,BUT 2DAY AMERUD NADHAN KWASABABU YA NJAA! Misimamo wanayo MAPACHA,ADILI,
 
pina alikua na msimamo zamani lakini kwa sasa siyo tena nabii koko bali kibaraka wa mawingu aliowakataa zamani napemba wimbo wake wa mstari wa mbele dah jamaa kachana anamwambia producer wake ZIMA MZIKI HALFANI MAJANI,WAZARAMO WAMESHATEKWA VITANI,HII NDIO HIP HOP NA SIO BONGO FLAVOUR WALA KOMESHO ANZISHAA.
 
Anatumia nguvu zaidi kuliko akili, kipaji hana.!!!
 
Kiasi ameanza kutetereka nafikiri ni mambo ya ugali dagaa tena lakini kipindi kirefu ameonesha kukomaa ila akakosa sapoti ua wenza!nashukuru sana bandugu kwa michango yenu all in all am his best fan!
 
Jamaa he can't sing acheni utani,
 
"Ukweli unaogopwa siku hizi kama ukimwi,wanaosema wanatengwa miongoni mwao ni mimi"we uko dunia ipi he simply doing hip hop.

Sasa Wewe Pina anafanya HIP HOP au anafanya utemi? au utem is one amongst Elements Of HIP HOP
 
Hakuna aliekamilika binafsi namkubali sana huyu msanii kwa kua imara kwenye misimamo yake,kutoonesha uoga uoga,lakini zaidi ni kupenda kwake kuzungumza ukweli!sikiliza moja ya nyimbo za kikosi cha mizinga inayoitwa ufalme!

kumpigia magoti RU-GAY,kumwandikia barua ya msamaha huku akilia kama mtoto ndo msimamo???????
 
Hawezi kutoa track kali kama Mstari a mbele hata Afanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…