Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aliekamilika binafsi namkubali sana huyu msanii kwa kua imara kwenye misimamo yake,kutoonesha uoga uoga,lakini zaidi ni kupenda kwake kuzungumza ukweli!sikiliza moja ya nyimbo za kikosi cha mizinga inayoitwa ufalme!

Asante mkuu,pamoja na mkoloni.Hana msimamo! wenye msimamo ni Mapacha a.k.a maujanja supplier.
Jamaa he can't sing acheni utani,
"Ukweli unaogopwa siku hizi kama ukimwi,wanaosema wanatengwa miongoni mwao ni mimi"we uko dunia ipi he simply doing hip hop.
am not his fan!!!!
attitude yake siipendagi!!!!!!
ANA MSIMAMO GANI! Zamani alikua yuko against na waf,BUT 2DAY AMERUD NADHAN KWASABABU YA NJAA! Misimamo wanayo MAPACHA,ADILI,
Hakuna aliekamilika binafsi namkubali sana huyu msanii kwa kua imara kwenye misimamo yake,kutoonesha uoga uoga,lakini zaidi ni kupenda kwake kuzungumza ukweli!sikiliza moja ya nyimbo za kikosi cha mizinga inayoitwa ufalme!
yeye mwenyewe hakupendagi
the feelings are mutual then......