Je wewe unamkubali pina?

Sasa Wewe Pina anafanya HIP HOP au anafanya utemi? au utem is one amongst Elements Of HIP HOP

Mziki umejaa wanafiki wanajifanya hawanijui,mashairi yangu ya kweli yananiletea uadui"maadui wenye sura ka kondoo roho za chui"-makundi yanavunjika wasanii wanafarakana,chuki imewatenga ndugu wanakosa zikana"pesa imepelekea watu kuuana"-marekani ndio imeleta imeleta ugaidi waislamu tukabebeshwa tena pasina ushahidi"dunia inaenda wapi naona ushoga unazidi"anglikana wanaooana haa kwa mungu laana,wanaume kwa wanaume ata khabari hawana"ufirauni uzayuni umewarubuni mmeacha kanuni,nikiwapa ukweli mnasema eti uhuni".kwenye ukweli wanasimamaga watu wachache sana hakuna aliekamilika wewee!
 
mjinga kumuelewa mwerevu ni ngumu sana!...............pina anajua kuandika!salute kwake!......ndugu yetu huzuni,jirani masikitiko!!!!
 

mistari kama hiyo hamna ----- yeyote katika game hili la leo anaweza akatunga!!!!watabaki na vistari vyao sijui,mfupi ndo kagundua ngazi mara nna mistari ila mimi siyo pundamilia!...najua mengi ila mimi siyo mengi wa IPP!....yaani mistari ya upuuzi upuuzi!
 
He´s so not Hip Hop singer.Sahau,ataishia tu kwenye show zake za Kijonyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…