Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
ndio hisia zenu ni sawa...hamchekani
kuna sehem uliniona nimemcheka!!!!!!
Au ulitaka wote tuwe na the same view kama wewe!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio hisia zenu ni sawa...hamchekani
kuna sehem uliniona nimemcheka!!!!!!
Au ulitaka wote tuwe na the same view kama wewe!!!!!
umekasirika kujua kala pina hakupendi kama usivyompenda
Sasa Wewe Pina anafanya HIP HOP au anafanya utemi? au utem is one amongst Elements Of HIP HOP
Hawezi kutoa track kali kama Mstari a mbele hata Afanyeje
Mziki umejaa wanafiki wanajifanya hawanijui,mashairi yangu ya kweli yananiletea uadui"maadui wenye sura ka kondoo roho za chui"-makundi yanavunjika wasanii wanafarakana,chuki imewatenga ndugu wanakosa zikana"pesa imepelekea watu kuuana"-marekani ndio imeleta imeleta ugaidi waislamu tukabebeshwa tena pasina ushahidi"dunia inaenda wapi naona ushoga unazidi"anglikana wanaooana haa kwa mungu laana,wanaume kwa wanaume ata khabari hawana"ufirauni uzayuni umewarubuni mmeacha kanuni,nikiwapa ukweli mnasema eti uhuni".kwenye ukweli wanasimamaga watu wachache sana hakuna aliekamilika wewee!
ANA MSIMAMO GANI! Zamani alikua yuko against na waf,BUT 2DAY AMERUD NADHAN KWASABABU YA NJAA! Misimamo wanayo MAPACHA,ADILI,