Je, wewe unapenda kupiga picha? Je, waweza piga picha hili eneo? Shuhudia ujasiri wa huyu!

Je, wewe unapenda kupiga picha? Je, waweza piga picha hili eneo? Shuhudia ujasiri wa huyu!

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
14,624
Reaction score
20,666
1581577956889.png


1581578047836.png


1581578135594.png




 
Huyo demu anamwamini huyo mshkaji balaa, kama vile sisi mabaharia tunavyowaamini mademu na kuwapa dushe upigwe BJ.
 
Dahh hatari sana, mwisho naona wanawakwepa wanausalama. Mimi video naangalia naogopa.
 
Faarrrk deem, yaani baada kumaliza kungalia video nashangaa nimekalia maji kucheki vizuri kumbe sfinkta masozi zililegea kwa woga bila mie kujua...

Shuubaaamiit....
Umenifanya nicheke kwa sauti mpaka kvant imenipalia😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom