Je unampenda uliyenaeye??..........au unaendeleakumtafuta umpendae kwasasa??..........je utakuwa umemtendea haki huyo uliyenaye???.................au upokwake kwa sababu fulani?funguka......>>>>
Good!!!!!!!!!!!!!!! Binafsi nampenda sana niliyenaye sitafuti mwingine kabisaaaaaa ata aje kuwa namapungufu gani nitampenda sana sana kwani amenitoa mbali sana ,na ni mungu amenipa kwa lolote lile nitamiuuliza mungu kwanza. -bila kusahau kiapo changu cha kanisani .nakujali wajibu wangu nakuplay part yangu siku zote
Penda pale unapopapenda...c kwa sababu fulani unakaa n mtu tu,hata kama humpendi.Ni ngumu kujilazimisha kumpenda mtu.baadae utapata shida.Binafsi napenda pale napojisikia amani na napapenda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.