Je, wewe unawakumbuka nani ambao walitrend au bado wanatrend?

Je, wewe unawakumbuka nani ambao walitrend au bado wanatrend?

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,188
Reaction score
6,633
Hapa Tanzania/Bongo kuna watu wanakuwa maarufu kwa kipindi fulani(trend) kutokana na harakati zao za maisha kama vile muziki,fulani,sasa, vichekesho na kadhalika. Mitano michache ni marehemu Dr Shika, comedian Chikumbalaga, Pierre Liquid kuwataja wachache.
Kwa sasa wanaontrend ni Mc Mboneke kupitia comed za tik tok na mwanamuziki wa singeli Mc Kinata na singeli yake ya kiingereza.
Ni suala la muda tu nao watapita,je wewe unawakumbuka nani ambao walitrend au bado wanatrend?
Uzi tayari.
 
Back
Top Bottom