With the right amount of fee, I can even take a contract to kill a president! KIla kitu kina price bwana, just wave the right amount mbele ya mtu.Je, wewe ni nini mtazamo wako.
Ni nini mipaka yako.
Je, unaweza kufanya chochote ilimradi utapata pesa?
Don't say that bro....With the right amount of fee, I can even take a contract to kill a president! KIla kitu kina price bwana, just wave the right amount mbele ya mtu.
Ukisema hivyo inamaana una akili ndogo sana ya kufikiri. Labda ungeweza ku-pendekeza pia naweza kukubali kiwango kikubwa cha fedha ili nijirushe kutoka summit ya Mkapa House bila kuwa na chochote cha kunifanya nitue chini salama.Don't say that bro....
ukisema hivyo hata a.nus yako unaweza iweka sokoni kwa ajili ya fedha.....
swali la mleta mada lipo very technical....
mm nina maintain kuna vitu vina mipaka
You hv already set your standard bro....Ukisema hivyo inamaana una akili ndogo sana ya kufikiri. Labda ungeweza ku-pendekeza pia naweza kukubali kiwango kikubwa cha fedha ili nijirushe kutoka summit ya Mkapa House bila kuwa na chochote cha kunifanya nitue chini salama.
Ila akini the right amount of money kuhakikisha na kumuahidi anaenilipa nitaipata ya kwako come rain or sunshine, hata ikibidi kuku-drug, ili apate picha za kuku-blackmail.