Je, wewe ungechagua lipi?

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
5,606
Reaction score
7,032
Nimekuwa nikitafakari, kwamba hivi kungekuwa na 'option' ya kuchagua kuzaliwa na kutokuzaliwa, je, wewe ungechagua lipi?
 
Nimekuwa nikitafakari, kwamba hivi kungekuwa na 'option' ya kuchagua kuzaliwa na kutokuzaliwa, je, wewe ungechagua lipi?
Hmm! Haya maswali mengine yanaashiria stress zilizovuka mpaka...
Nakushauri wahi kwa daktari kabla hali haijawa mbaya...
 
Nimekuwa nikitafakari, kwamba hivi kungekuwa na 'option' ya kuchagua kuzaliwa na kutokuzaliwa, je, wewe ungechagua lipi?

Yawezekana ukasema bora usingezaliwa na baadae ukaja kuzaliwa lakini badala ya kuwa Mwanadamu sasa ukazaliwa ukiwa ni Kenge au Bata Mzinga.
 
TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE , WENYE SHIDA NA TAABU HUKIMBIZWA NA WALO WEZI.

TANZANIA YAWAKARIBISHA, MPIGANE KIUME CHEMA WEE

TANZSNIA TANZANIA,,) HERI YAKO KWA MATAIFAAAAA..
Nilalapo nakuota weweeeee

Niamkapo ni kheri mama weeee
 
Nilalapo nakuota weweeeee

Niamkapo ni kheri mama weeee
ha ha ha kabisa

NNCHI NYINGI ZAKUOTAAA, NURU YAKO HAKUNA TENA

NAWAGENI WAKUKIMBILIAAA , NGOME YAKO IMARA KWELI WEEEEEE.

ha ha ha ha acha kabisa kuwa mTAnzania ni raha sana.
 
ha ha ha kabisa

NNCHI NYINGI ZAKUOTAAA, NURU YAKO HAKUNA TENA

NAWAGENI WAKUKIMBILIAAA , NGOME YAKO IMARA KWELI WEEEEEE.

ha ha ha ha acha kabisa kuwa mTAnzania ni raha sana.
Tatizo Sizonje haeleweki
 
Mkuu vitu vingine tunaweza kukufuru bora tukae kimya
Mungu anisamehe tu. Kutokana na changamoto nilizokutana nazo na nyingine naendelea kukabiliana nazo, inafika wakati mpaka nafikiri kuwa kungekuwa na option ya kuchagua baada ya kuonyeshwa duniani kulivyo ningesichagua kuzaliwa kuja kuishi kwenye dunia hii iliyojaa misukosuko mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…