Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Nimekuwa nikitafakari, kwamba hivi kungekuwa na 'option' ya kuchagua kuzaliwa na kutokuzaliwa, je, wewe ungechagua lipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa trump?Ningechagua kuzaliwa lakini sio Tanzania, ningechagua marekani
Mkuu vitu vingine tunaweza kukufuru bora tukae kimyaNimekuwa nikitafakari, kwamba hivi kungekuwa na 'option' ya kuchagua kuzaliwa na kutokuzaliwa, je, wewe ungechagua lipi?
Mbona lugha kali hivyo??Heshimu mtazamo wake mkuukwa trump?
ee boya wa bure leo.
mama yako adione hili tamko loooh.
Hmm! Haya maswali mengine yanaashiria stress zilizovuka mpaka...Nimekuwa nikitafakari, kwamba hivi kungekuwa na 'option' ya kuchagua kuzaliwa na kutokuzaliwa, je, wewe ungechagua lipi?
Nimekuwa nikitafakari, kwamba hivi kungekuwa na 'option' ya kuchagua kuzaliwa na kutokuzaliwa, je, wewe ungechagua lipi?
Nilalapo nakuota weweeeeeTANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE , WENYE SHIDA NA TAABU HUKIMBIZWA NA WALO WEZI.
TANZANIA YAWAKARIBISHA, MPIGANE KIUME CHEMA WEE
TANZSNIA TANZANIA,,) HERI YAKO KWA MATAIFAAAAA..
ha ha ha kabisaNilalapo nakuota weweeeee
Niamkapo ni kheri mama weeee
Ficha upumbavu wakokwa trump?
ee boya wa bure leo.
mama yako adione hili tamko loooh.
Tatizo Sizonje haelewekiha ha ha kabisa
NNCHI NYINGI ZAKUOTAAA, NURU YAKO HAKUNA TENA
NAWAGENI WAKUKIMBILIAAA , NGOME YAKO IMARA KWELI WEEEEEE.
ha ha ha ha acha kabisa kuwa mTAnzania ni raha sana.
Ningechagua kuzaliwa lakini sio Tanzania, ningechagua marekani
Mungu anisamehe tu. Kutokana na changamoto nilizokutana nazo na nyingine naendelea kukabiliana nazo, inafika wakati mpaka nafikiri kuwa kungekuwa na option ya kuchagua baada ya kuonyeshwa duniani kulivyo ningesichagua kuzaliwa kuja kuishi kwenye dunia hii iliyojaa misukosuko mingi.Mkuu vitu vingine tunaweza kukufuru bora tukae kimya
Nimekuwa nikitafakari, kwamba hivi kungekuwa na 'option' ya kuchagua kuzaliwa na kutokuzaliwa, je, wewe ungechagua lipi?
Hata wewe unaweza kuwa daktari kwa kunipa ushauri unaofaa.Hmm! Haya maswali mengine yanaashiria stress zilizovuka mpaka...
Nakushauri wahi kwa daktari kabla hali haijawa mbaya...
😀 😵 😉 🙂 haya bhana, nimekuelewa...Hata wewe unaweza kuwa daktari kwa kunipa ushauri unaofaa.