Je, wewe ushawahi kuwaza jambo hili?

Je, wewe ushawahi kuwaza jambo hili?

Pettymagambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
1,490
Reaction score
8,227
Habari watu wa taifa tukufu linalotetewa na timu ya Simba pekee kimataifa kila mwaka!

Basi katika medali ya muziki hapa nchini na duniani kwaujumla ulishawahi kutokea kuupenda wimbo flani ulioimbwa nawasanii wawili au zaidi lakini hapohapo ukatamani wimbo huo ingependaza zaidi kama angeimba mmoja kati ya wasanii hawa?

Mfano mie kwenye wimbo wa Linex na Rayvan unaitwa waongo hao! Huu wimbo kama angeimba Linex pekeyake naona ingekua poa zaidi. Hebu tuambie nawewe upi wimbo unatamani angeimba mmoja tu ungenoga sana?
 
Duhhhh.....

Nchi ishakua ngumu sana hii..teh😂
 
Kimsingi Yanga iko vzr zaidi kwa kipindi hiki
 
Ule wimbo wa timu kubwa ungeimbwa na yanga pekee maana inamakombe mengi mno 27
 
Back
Top Bottom