Je wewe utamuhisi Nani?

Je wewe utamuhisi Nani?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Upo ndani ya daladala na
1.chris brown

2.rick ross

3.nicki minaj

4.beyonce

5.rihanna

6.msaga sumu

Mara paap!! umeibiwa kasimu kako ka techno,utamuhis nan????


.
 
3 4 5 wanawake wazuri so wa kuwaamini.... Ila atakua 3 wenye makalio makubwa ndo wezi sana aisee
 
Back
Top Bottom