Je wizara ya elimu imesitisha kuajiri wakufunzi wa vyuo vya ualimu?

Je wizara ya elimu imesitisha kuajiri wakufunzi wa vyuo vya ualimu?

charman

Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
15
Reaction score
0
Ninajiuliza swali hilo hapo juu kwani wizara ya elimu imesitisha ajira za wakufunzi? Kama imesitisha kwanini? je vyuo vya serikali walivyo vipendekeza kuto DIPLOMA IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION vinawakufunzi wakutosha? wahusika kama mnampango wa kuwajengea watoto with stadi za kusoma,kuandika,na kuhesabu yaani(KKK) Mbona wataalamu wa taluma hiyo hamuwaajiri? Mabaliko hayaji kwa kupuuza bali kwakutenda ,ebu viongozi tuwe wazalendo wanchi yetu kwakujenga misingi bora ya elimu kwa watanzania waliowengi. Natumaini mtatekeleza.
 
jibu ni ndiyo.Pôle kwa kusubiri.Kumbuka vyuo ulivyotaja viko chini ya wizara ya elimu il hali wewe tegemea tamisemi
 
watu wana masters kiibaaaao alafu bachela analalamika. huku sekondar tu masters nyingi
 
Back
Top Bottom