Je, wizi huu wa VODACOM serikali haiutambui!!!?

Je, wizi huu wa VODACOM serikali haiutambui!!!?

iJamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
1,960
Reaction score
1,502
Ninaomba nikuulize maswali ya kiuchokonozi... Eti hivi baada ya UWEZO kushinda zile 100m...

Je, washindi wengine walioshinda kiasi hicho hicho baada yake ni wote wamegoma kutangazwa kwenye vyombo vya habari
..............................................................................................AU
Tuseme VODACOM wao ndio wameamua washindi hao wengine wawe wanapewa hizo 100m kimya kimya bila kutangazwa kwenye vyombo vya habari? ..............................................................................................AU
Hii ni ESCROW nyingine ambapo VODACOM wameitumia kuipa pesa za watanzania kwa kuchezesha michezo isiyokuwa na mshindi!!?
..............................................................................................AU
Labda washindi wanatangazwa na tatizo lipo kwangu sisikilizi vizuri habari zinazotolewa na vyombo vya habari.. Maana sio siri sijawahi kusikia hata hao washindi wa 1m na 10m wa kila siku toka shindano la JAY MILLIONARE lianze.
 
vodacom ni genge la majambazi sugu,ila kwa kuwa ni moja ya wadhamini wa jamii forum uzi huu lazima utafutwa
 
Msemaji wao utasikia anasema hamcheki ndio maana sasa sielewi kucheki ndio nini
 
Mshindi anapatika kwa kuangalia kama kashind possible kuna mshindi lakini hakuangalia kama ameshinda ila kuna gaming board kuna terms and condition za kushiriki sio lazima!
 
Back
Top Bottom