Mionzi ya x-ray na mingineyo kwa hakika ina athari kwa afya. Lakini kwa kwa dozi ndogo na mara chache kama mgonjwa apatayo hospitali madhara yake kiafya ni kidogo sana ukilinganisha na faida za matumizi yake ambazo ni kubwa sana. Hivyo usiogope x-ray zinazoshauriwa na madaktari makini.