je X-RAY ina madhara kwa binadamu?

je X-RAY ina madhara kwa binadamu?

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
ndugu zangu napenda kuuliza hivi X-RAY ambayo tumekuwa tukipiga hospitalini ina madhara yoyote ya kiafya kwetu? na kama ina madhara ni madhara gani?
 
Mionzi ya x-ray na mingineyo kwa hakika ina athari kwa afya. Lakini kwa kwa dozi ndogo na mara chache kama mgonjwa apatayo hospitali madhara yake kiafya ni kidogo sana ukilinganisha na faida za matumizi yake ambazo ni kubwa sana. Hivyo usiogope x-ray zinazoshauriwa na madaktari makini.
 
Back
Top Bottom