Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #21
🙌Wala hatujal kuangamia Kwake sisi kaz yetu kubwa ni kuua upinzan kabla ya uchaguzi,unataka tukiuke amri ya menyekigoda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙌Wala hatujal kuangamia Kwake sisi kaz yetu kubwa ni kuua upinzan kabla ya uchaguzi,unataka tukiuke amri ya menyekigoda?
Na hili ndo Tatizo Kuu. Siku zote Tanzania tumekuwa na Tatizo la kutunga sheria kwa mihemko hadi tunakuja kupata hasara. Ni shida sana kutumia nguvu ya kuua Tembo kuua sisimizi. Kama Tatizo lilikuwa matumizi mabaya ya fedha hizo wangekuja na utaratibu mzuri wa kudhubiti hayo matumizi mabaya sio kufanya maamuzi ya kuhatarisha kabisa sekta nzima ya uhifadhi na utalii.Ushenzi wa kingwangalla kuchota fedha hovyo huko ndio kumepelekea mapalendekezo hayo. Tunaenda kuua hizo taasisi.