kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kwa watu ambao wanajua vizuri mpira watakubaliana na mimi
Kufika kwa yanga final ya Caf federetion kumewaongezea kujiamini na kujitambuwa pamoja na uelewa wa mambo kitu ambacho walikuwa wanakikosa hapo zamani na amini kama wataendelea na hii philosophe yao ya mpira wa kushambulia zaidi kuliko ku possession basi nahapa yanga msimu ujao anaweza kufika final ya club bingwa tena
Unajua kwanini kwasababu timu nyingi zitachukulia yanga kuwa underdog
Watakuwa wanacheza mpira wa ku push mashambuliza kwa juu na kuacha idadi ndogo ya mabeki nyuma kitu ambacho ni haramu kushambulia yanga kwa kupanda na mabeki wengi mbele
Maana yanga ana washambuliaji wenye kasi zaidi
Ukiwaachia nafasi ya kukimbia na mpira hasa hasa katikati ya uwanja na pembezoni mwa uwanja wangereza wanasema you are dadie