Je, Yanga anaweza kufanya vizuri club bingwa?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kwa watu ambao wanajua vizuri mpira watakubaliana na mimi
Kufika kwa yanga final ya Caf federetion kumewaongezea kujiamini na kujitambuwa pamoja na uelewa wa mambo kitu ambacho walikuwa wanakikosa hapo zamani na amini kama wataendelea na hii philosophe yao ya mpira wa kushambulia zaidi kuliko ku possession basi nahapa yanga msimu ujao anaweza kufika final ya club bingwa tena

Unajua kwanini kwasababu timu nyingi zitachukulia yanga kuwa underdog
Watakuwa wanacheza mpira wa ku push mashambuliza kwa juu na kuacha idadi ndogo ya mabeki nyuma kitu ambacho ni haramu kushambulia yanga kwa kupanda na mabeki wengi mbele
Maana yanga ana washambuliaji wenye kasi zaidi
Ukiwaachia nafasi ya kukimbia na mpira hasa hasa katikati ya uwanja na pembezoni mwa uwanja wangereza wanasema you are dadie
 
wewe unaonekana huijui vizur champion league
 
Baba usitishwe na jina champions league ndo ufikkiri kuwa kuna timu za kutisha kivile wanacho zidiana na mbinu tu wenzako wakikuweza kwenye mbinu zao basi umekwisha

Na ikiwa yanga wataendelea na mpira wao huu wa kushambulia sio ugenini wala nyumbani kuna timu kubwa zitapoteza nyumbani na ugenini si semei ushabiki Bali na sema vitu vya kweli kabisa kama kocha na mshambiki wa mpira
 
Akili mtu wangu,ngoja tuone naskia CAF wameondoa utaratibu wa mtu kutolewa round ya kwanza champions league akaenda kucheza game za shirikisho.

Habari njema ni kwamba Simba SC atacheza game mbili tu(home and away),then makundi
 
Silaha kubwa ya yanga ni kuwa na kikosi chenye quality prayers na experience prayers, yanga kwa sasa ni timu inayojiamini kufanya chochote iwe ndani ya nchi ama nje ya nchi wanaamini wanao uwezo wa kupata matokeo, michuano ya kombe la shirikisho imewajenga pakubwa katika suala zima la kujiamini, kwa kuwa wamekutana na kila aina ya vikwazo but walivivuka na kusonga mbele, Timu zote zitakazokuja kucheza na yanga msimu huu klabu bingwa zitakuja kwa heshima kubwa wakijua wanakutana na timu ngumu yenye wachezaji bora sio kama zamani,
Na kikubwa zaidi key prayers wote ambao ndio uti wa mgongo wa timu wamebakishwa kwenye kikosi na wanaongezewa wengine wachache kuziba mianya iliyokuwa na mapungufu, kwa maana iyo yanga anakwenda kuweka historia nyingine klabu bingwa kwa jicho la kiufundi!
 
Na yanga atacheza game ngapi ili aingie makundi labda kwa uelewa wako?
 
Thubuuutuuuu
 
Silaha kubwa ya yanga ni kuwa na kikosi chenye quality prayers na experience prayers, yanga kwa sasa ni timu inayojiamini kufanya chochote iwe ndani ya nchi ama nje ya nchi wanaamini wanao uwezo wa kupata matokeo, michuano ya kombe la shirikisho imewajenga pakubwa katika suala zima la kujiamini, kwa kuwa wamekutana na kila aina ya vikwazo but walivivuka na kusonga mbele, Timu zote zitakazokuja kucheza na yanga msimu huu klabu bingwa zitakuja kwa heshima kubwa wakijua wanakutana na timu ngumu yenye wachezaji bora sio kama zamani,
Na kikubwa zaidi key prayers wote ambao ndio uti wa mgongo wa timu wamebakishwa kwenye kikosi na wanaongezewa wengine wachache kuziba mianya iliyokuwa na mapungufu, kwa maana iyo yanga anakwenda kuweka historia nyingine klabu bingwa kwa jicho la kiufundi!
Acha utapeli home boy,yani una jicho la kiufundi lakini huoni kama player na "prayer" kuna tofauti kubwa?Sawa ni typing errors lakini mbona repetition imekuwa mara nyingi mpaka unanipa wakati mgumu kuamini kama unaweza kuwa football analyst
 
Akili mtu wangu,ngoja tuone naskia CAF wameondoa utaratibu wa mtu kutolewa round ya kwanza champions league akaenda kucheza game za shirikisho.

Habari njema ni kwamba Simba SC atacheza game mbili tu(home and away),then makundi
Acha kujidandanya kwa mfumo wa sasa hakuna kucheza round moja kisha makundi rounds ni mbili
 
Baba usitishwe na jina champions league ndo ufikkiri kuwa kuna timu za kutisha kivile wanacho zidiana na mbinu tu wenzako wakikuweza kwenye mbinu zao basi umekwisha

Na ikiwa yanga wataendelea na mpira wao huu wa kushambulia sio ugenini wala nyumbani kuna timu kubwa zitapoteza nyumbani na ugenini si semei ushabiki Bali na sema vitu vya kweli kabisa kama kocha na mshambiki wa mpira

Baba usitishwe na jina champions league ndo ufikkiri kuwa kuna timu za kutisha kivile wanacho zidiana na mbinu tu wenzako wakikuweza kwenye mbinu zao basi umekwisha

Na ikiwa yanga wataendelea na mpira wao huu wa kushambulia sio ugenini wala nyumbani kuna timu kubwa zitapoteza nyumbani na ugenini si semei ushabiki Bali na sema vitu vya kweli kabisa kama kocha na mshambiki wa mpira
Kuna mtu hapo juu amekwamia inaonekana wewe huijui champions league, nakazia, nk kweli wewe huijui champions league
 
Silaha kubwa ya yanga ni kuwa na kikosi chenye quality prayers na experience prayers, yanga kwa sasa ni timu inayojiamini kufanya chochote iwe ndani ya nchi ama nje ya nchi wanaamini wanao uwezo wa kupata matokeo, michuano ya kombe la shirikisho imewajenga pakubwa katika suala zima la kujiamini, kwa kuwa wamekutana na kila aina ya vikwazo but walivivuka na kusonga mbele, Timu zote zitakazokuja kucheza na yanga msimu huu klabu bingwa zitakuja kwa heshima kubwa wakijua wanakutana na timu ngumu yenye wachezaji bora sio kama zamani,
Na kikubwa zaidi key prayers wote ambao ndio uti wa mgongo wa timu wamebakishwa kwenye kikosi na wanaongezewa wengine wachache kuziba mianya iliyokuwa na mapungufu, kwa maana iyo yanga anakwenda kuweka historia nyingine klabu bingwa kwa jicho la kiufundi!
Haya sawa, wakati ni ukuta.

Let us wait and see 🙈
 
wewe hamna key players hapa bongo, ni key players kwa uwezo wa timu zetu
 
Kuna mtu hapo juu amekwamia inaonekana wewe huijui champions league, nakazia, nk kweli wewe huijui champions league
bora na wewe umemwambia maana sio kwa uharo huo, yaan anasema yanga inawachezaji makin, yanga awe na wachezaji makin uwazid wahuni wa kiarabu aise
 
Huku kweye shurikisho teweka historia ambayo haijawahi kuwekwa na timu yyt Tanzania nia kwa mujibu wa CAF.Tunakuja kwenye shirikisho napo tukivuka makundi tutakamatiwa nusu au fainali.
 
Back
Top Bottom