Je, Yanga anaweza kufanya vizuri club bingwa?

Angalia club ranking kwanza utapata jibu binafsi naweza nisiwe na jibu sahihi
Kwa hoja yako hizo club ranking zisingekua zinabadilika. Alieshika namba 1 anakua huyo huyo maisha mpaka kiama kinakuja na namba 2,3,4,5,6..........n.
nayo ni hivyo hivyo.
 
Prayers tena? CAF hakuna mashindano ya mchungaji Mashimo ,Zamaradi wala Mwaiposa.Hayo mashindano watashiriki utopolo na Manara .
 
Reactions: BRN
[emoji23][emoji23] Wachezaji wenyewe ndo hao akina musonda ??,, anyway champions league unaijua kweli ?
 
Reactions: BRN
[emoji23][emoji23] Wachezaji wenyewe ndo hao akina musonda ??,, anyway champions league unaijua kweli ?
Ni kweli kina musonda haohao watakipiga hasa. Pia professionalism ya Young Africans itasaidia sana. Niko paleeee.
 
Nilipoona tu Quality prayers instead of quality players nikajua tu aliyeandika absolutely she/He is a baby Monkey (Utopolo FC)
 
Reactions: BRN
Kama Yanga itabakishaasilimia 75 ya wachezaji waliocheza CAF, basi itafiuka mbali sana kwenye Champions competitions kwa sababu ya uzoefu. Mwaka jana walitolewa kutokana na kutokuwa na uzoefu walipoanza kupata uzeofu wakatisha sana huko Confederation.
 
Kupata vichekesho ulivyoandika tubonyeze alama button gan?
 
Reactions: BRN
Yanga ikiwa na hao unaowaita Quality players sijui ilishindwa vipi kuingia hatua ya makundi klabu bingwa barani Afrika?
 
Sheikh bahati haiji mara mbili hata Tottenham kule ulaya walicheza fainali UEFA champions league lakini mpaka ni kama ndoto vile bahati ishapita na Caf washapiga spana kina zalan fc na marumo gallant kwenda kombe la looser.
 
Duhhh! Nimecheka hii thread inachekesha , muda utaamua ,ninachoamini msimu huu Yanga round ya awali tu atakuwa out of tournament ya CAFCL
 
Reactions: BRN
Al hilal aliwaonesha nn maana ya CAFCL, tutolee upuuzi wako hapa.
 
Reactions: BRN
Prayers tena? CAF hakuna mashindano ya mchungaji Mashimo ,Zamaradi wala Mwaiposa.Hayo mashindano watashiriki utopolo na Manara .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walikutana na team mbovu, ukweli usemwee.
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…