bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Acha ujinga, timu iondokewe na wachezaji wawili ibomoke? mara ngapi Simba imefika robo fainali bila hao wachezaji?Ac
Acha kutumia hisia au tumbo kufikiri[emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga, timu iondokewe na wachezaji wawili ibomoke? mara ngapi Simba imefika robo fainali bila hao wachezaji?Ac
Acha kutumia hisia au tumbo kufikiri[emoji41]
Wewe vipi?Na yanga atacheza game ngapi ili aingie makundi labda kwa uelewa wako?
Kwa hoja yako hizo club ranking zisingekua zinabadilika. Alieshika namba 1 anakua huyo huyo maisha mpaka kiama kinakuja na namba 2,3,4,5,6..........n.Angalia club ranking kwanza utapata jibu binafsi naweza nisiwe na jibu sahihi
[emoji23][emoji23] Wachezaji wenyewe ndo hao akina musonda ??,, anyway champions league unaijua kweli ?Kwa watu ambao wanajua vizuri mpira watakubaliana na mimi
Kufika kwa yanga final ya Caf federetion kumewaongezea kujiamini na kujitambuwa pamoja na uelewa wa mambo kitu ambacho walikuwa wanakikosa hapo zamani na amini kama wataendelea na hii philosophe yao ya mpira wa kushambulia zaidi kuliko ku possession basi nahapa yanga msimu ujao anaweza kufika final ya club bingwa tena
Unajua kwanini kwasababu timu nyingi zitachukulia yanga kuwa underdog
Watakuwa wanacheza mpira wa ku push mashambuliza kwa juu na kuacha idadi ndogo ya mabeki nyuma kitu ambacho ni haramu kushambulia yanga kwa kupanda na mabeki wengi mbele
Maana yanga ana washambuliaji wenye kasi zaidi
Ukiwaachia nafasi ya kukimbia na mpira hasa hasa katikati ya uwanja na pembezoni mwa uwanja wangereza wanasema you are dadie
Ni kweli kina musonda haohao watakipiga hasa. Pia professionalism ya Young Africans itasaidia sana. Niko paleeee.[emoji23][emoji23] Wachezaji wenyewe ndo hao akina musonda ??,, anyway champions league unaijua kweli ?
Nilipoona tu Quality prayers instead of quality players nikajua tu aliyeandika absolutely she/He is a baby Monkey (Utopolo FC)Silaha kubwa ya yanga ni kuwa na kikosi chenye quality prayers na experience prayers, yanga kwa sasa ni timu inayojiamini kufanya chochote iwe ndani ya nchi ama nje ya nchi wanaamini wanao uwezo wa kupata matokeo, michuano ya kombe la shirikisho imewajenga pakubwa katika suala zima la kujiamini, kwa kuwa wamekutana na kila aina ya vikwazo but walivivuka na kusonga mbele, Timu zote zitakazokuja kucheza na yanga msimu huu klabu bingwa zitakuja kwa heshima kubwa wakijua wanakutana na timu ngumu yenye wachezaji bora sio kama zamani,
Na kikubwa zaidi key prayers wote ambao ndio uti wa mgongo wa timu wamebakishwa kwenye kikosi na wanaongezewa wengine wachache kuziba mianya iliyokuwa na mapungufu, kwa maana iyo yanga anakwenda kuweka historia nyingine klabu bingwa kwa jicho la kiufundi!
Ni kweli kina musonda haohao watakipiga hasa. Pia professionalism ya Young Africans itasaidia sana. Niko paleeee.
Kupata vichekesho ulivyoandika tubonyeze button gan?
Yanga ikiwa na hao unaowaita Quality players sijui ilishindwa vipi kuingia hatua ya makundi klabu bingwa barani Afrika?Silaha kubwa ya yanga ni kuwa na kikosi chenye quality prayers na experience prayers, yanga kwa sasa ni timu inayojiamini kufanya chochote iwe ndani ya nchi ama nje ya nchi wanaamini wanao uwezo wa kupata matokeo, michuano ya kombe la shirikisho imewajenga pakubwa katika suala zima la kujiamini, kwa kuwa wamekutana na kila aina ya vikwazo but walivivuka na kusonga mbele, Timu zote zitakazokuja kucheza na yanga msimu huu klabu bingwa zitakuja kwa heshima kubwa wakijua wanakutana na timu ngumu yenye wachezaji bora sio kama zamani,
Na kikubwa zaidi key prayers wote ambao ndio uti wa mgongo wa timu wamebakishwa kwenye kikosi na wanaongezewa wengine wachache kuziba mianya iliyokuwa na mapungufu, kwa maana iyo yanga anakwenda kuweka historia nyingine klabu bingwa kwa jicho la kiufundi!
Sheikh bahati haiji mara mbili hata Tottenham kule ulaya walicheza fainali UEFA champions league lakini mpaka ni kama ndoto vile bahati ishapita na Caf washapiga spana kina zalan fc na marumo gallant kwenda kombe la looser.Kwa watu ambao wanajua vizuri mpira watakubaliana na mimi
Kufika kwa yanga final ya Caf federetion kumewaongezea kujiamini na kujitambuwa pamoja na uelewa wa mambo kitu ambacho walikuwa wanakikosa hapo zamani na amini kama wataendelea na hii philosophe yao ya mpira wa kushambulia zaidi kuliko ku possession basi nahapa yanga msimu ujao anaweza kufika final ya club bingwa tena
Unajua kwanini kwasababu timu nyingi zitachukulia yanga kuwa underdog
Watakuwa wanacheza mpira wa ku push mashambuliza kwa juu na kuacha idadi ndogo ya mabeki nyuma kitu ambacho ni haramu kushambulia yanga kwa kupanda na mabeki wengi mbele
Maana yanga ana washambuliaji wenye kasi zaidi
Ukiwaachia nafasi ya kukimbia na mpira hasa hasa katikati ya uwanja na pembezoni mwa uwanja wangereza wanasema you are dadie
Al hilal aliwaonesha nn maana ya CAFCL, tutolee upuuzi wako hapa.Baba usitishwe na jina champions league ndo ufikkiri kuwa kuna timu za kutisha kivile wanacho zidiana na mbinu tu wenzako wakikuweza kwenye mbinu zao basi umekwisha
Na ikiwa yanga wataendelea na mpira wao huu wa kushambulia sio ugenini wala nyumbani kuna timu kubwa zitapoteza nyumbani na ugenini si semei ushabiki Bali na sema vitu vya kweli kabisa kama kocha na mshambiki wa mpira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Prayers tena? CAF hakuna mashindano ya mchungaji Mashimo ,Zamaradi wala Mwaiposa.Hayo mashindano watashiriki utopolo na Manara .
Walikutana na team mbovu, ukweli usemwee.Kama Yanga itabakishaasilimia 75 ya wachezaji waliocheza CAF, basi itafiuka mbali sana kwenye Champions competitions kwa sababu ya uzoefu. Mwaka jana walitolewa kutokana na kutokuwa na uzoefu walipoanza kupata uzeofu wakatisha sana huko Confederation.