Je Yanga kugomea mchezo wa ngao ya Jamii?

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Kwa sasa ni wazi Upepo unavuma vibaya upande wa Yanga hasa nje ya uwanja. Km TFF itamuadhibu Injinia Hersi bila shaka Yanga nao watatafuta namna ya ku-retaliate.Kamwe hawatakaa kimya. Ndio tabia ya Simba na Yanga. Ni km vile Simba walivyotishia kususia ligi baada ya kuona maji yamewafika shingoni. Naona Yanga wakijiandaa kugomea mchezo wa ngao ya jamii maana ndio silaha nzito waliyonayo mkononi kwa sasa. Mark my words!
 
Kama Yanga watasusa kucheza ngao ya jamii basi I bet sababu haiwezi kuwa TFF

Wanaweza aminisha watu kuwa sababu ni TFF ila behind wanaogopa kichapo kutokana na usajili unaofanywa na Simba
 
Yaani tugomee demu aliyejileta kwenye ghetto letu la popobawa kinyume nyume?
 
Kawaida yao hao siku ile walikimbia taifa wakisema sheria imevunjwa ila wao wakivunja sheria hawataki kuadhibiwa.
 
Yaani tugomee demu aliyejileta kwenye ghetto letu la popobawa kinyume nyume?
Kama hivi
IMG-20220226-WA0013.jpg

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
TFF sio wajinga watatoa hukumu baada ya ngao ya jamii, zeruzeru atapigwa miaka nitano,saidi atapigwa faini na onyo kali
 
Kama Yanga watasusa kucheza ngao ya jamii basi I bet sababu haiwezi kuwa TFF

Wanaweza aminisha watu kuwa sababu ni TFF ila behind wanaogopa kichapo kutokana na usajili unaofanywa na Simba
Amka kumekucha acha kuata wewe utakojolea kitandani mbafuuuu
 
Kwa sasa ni wazi Upepo unavuma vibaya upande wa Yanga hasa nje ya uwanja. Km TFF itamuadhibu Injinia Hersi bila shaka Yanga nao watatafuta namna ya ku-retaliate.Kamwe hawatakaa kimya. Ndio tabia ya Simba na Yanga. Ni km vile Simba walivyotishia kususia ligi baada ya kuona maji yamewafika shingoni. Naona Yanga wakijiandaa kugomea mchezo wa ngao ya jamii maana ndio silaha nzito waliyonayo mkononi kwa sasa. Mark my words!
Sio tabia ya yanga na Simba sema tabia ya yanga aka kimba FC

Simba huwa hatususi
 
Kwa sasa ni wazi Upepo unavuma vibaya upande wa Yanga hasa nje ya uwanja. Km TFF itamuadhibu Injinia Hersi bila shaka Yanga nao watatafuta namna ya ku-retaliate.Kamwe hawatakaa kimya. Ndio tabia ya Simba na Yanga. Ni km vile Simba walivyotishia kususia ligi baada ya kuona maji yamewafika shingoni. Naona Yanga wakijiandaa kugomea mchezo wa ngao ya jamii maana ndio silaha nzito waliyonayo mkononi kwa sasa. Mark my words!
Kwaiyo mchezo wa ngao ya jamii utafanyika wakati hukumu itakuwa ishatolewa eti? Ngao ya jamii ni jumamosi kwaiyo kesi itasikilizwa haraka haraka na kutoa hukumu ndani ya siku 5?
 
Back
Top Bottom