Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Kwa sasa ni wazi Upepo unavuma vibaya upande wa Yanga hasa nje ya uwanja. Km TFF itamuadhibu Injinia Hersi bila shaka Yanga nao watatafuta namna ya ku-retaliate.Kamwe hawatakaa kimya. Ndio tabia ya Simba na Yanga. Ni km vile Simba walivyotishia kususia ligi baada ya kuona maji yamewafika shingoni. Naona Yanga wakijiandaa kugomea mchezo wa ngao ya jamii maana ndio silaha nzito waliyonayo mkononi kwa sasa. Mark my words!