Je, Yanga kumpoteza Gamondi na Max!?

Yote yanawezekana ila mwisho wa siku lazima waondoke. Max yuko kwa mkopo Yanga hivyo kuondoka ni jambo linalowezekana wakati wowote.
Hivi nani huwa anawadanganya haya? Maana hata Mayele mlikua mnasema hivihivi eti yupo kwa mkopo🤣
 
Hivi nani huwa anawadanganya haya? Maana hata Mayele mlikua mnasema hivihivi eti yupo kwa mkopo[emoji1787]
Tusifanye kuwa mada kubwa. Iwe kwa mkopo ama sio jambo la msingi anaitumikia Yanga kwa miaka miwili maana kote pesa lazima itoke ili kumpata na inatamkwa amesajiliwa.
 
Tusifanye kuwa mada kubwa. Iwe kwa mkopo ama sio jambo la msingi anaitumikia Yanga kwa miaka miwili maana kote pesa lazima itoke ili kumpata na inatamkwa amesajiliwa.
Sasa wewe mwenyewe tuambie ulishawahi ona wapi mkopo wa miaka miwili?
 
Sasa wewe mqenyewe tuambie ulishawahi ona wapi mkopo wa miaka miwili?
Hivi unafuatilia mpira na kanuni zake mkuu? Kama hujui kama kuna mkopo wa mchezaji kwa zaidi ya miaka miwili unachokijua ni kipi sasa?
 
Hivi unafuatilia mpira na kanuni zake mkuu? Kama hujui kama kuna mkopo wa mchezaji kwa zaidi ya miaka miwili unachokijua ni kipi sasa?
Huh.. nionyeshe huo mkopo wa miaka miwili na niambie ilitokea wapi? Nataka proffesional football
 
Umefafanua vizuri sana si unaona mf kwa Sasa kama bangala angekuwa yupo back up ya Aucho ingekuwa haisumbui sana maana jamaa kwenye makundi asipokula umeme ni bahati na mbadala wake ni Mauya Zawadi viwango havifanani
 
Wenzenu wameshafukuza kocha huko.
Na watakae mleta wajiandae kumfukuza tena au kuvumilia ili wamfukuze mwakani
Si tunawaombe vipigo viwili tena basi tutangaze ubingwa
1.Azam
2.Yanga 2nd leg
3.Draw ya Azam second leg
4.Draw ya Namungo 2nd leg
 
Umefafanua vizuri sana si unaona mf kwa Sasa kama bangala angekuwa yupo back up ya Aucho ingekuwa haisumbui sana maana jamaa kwenye makundi asipokula umeme ni bahati na mbadala wake ni Mauya Zawadi viwango havifanani
Unaweza kuwa sahihi ila ni ngumu kuwabakiza wachezaji wenye profile zinazofanana. Ni lazima mmoja aondoke kwa kuwa wote wanataka wawe ndani ya first 11 . Mauya au sure boy kuwa kama backup ya Aucho si mbaya.
 
Ni kweli sio back up mbaya ila naona rotation Yao kama haifanyiki mfano sure boy game kama tatu sijamuona hata akiingia dk za mwisho anyway ngoja tuone inakuwaje
 
Ni kweli sio back up mbaya ila naona rotation Yao kama haifanyiki mfano sure boy game kama tatu sijamuona hata akiingia dk za mwisho anyway ngoja tuone inakuwaje
Timu ikishajipata huwezi fanya rotation hovyo mkuu. Ni pale tu mchezaji wenu aliyebora anahitaji kupumzika ndio angalau utamfanyia rotation. Unaanzaje kumfanyia rotation Max kwa mfano au Aucho mwenyewe.

Kinachofanyika ni kumpumzisha asipate fatigue au majeraha kwa baadhi ya mechi kutokana na kucheza mechi nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…